Siku ya kusherehekea miaka 63 ya Uhuru | 07.12.2024 | Frankfurt
Mwenyekiti wa Umoja wa waTanzania Ujerumani (UTU) Bi Miriam Liebhart akitoa hotuba yake kwa mgeni rasmi (kwa niaba ya balozi) na wanachama siku ya kusherehekea miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania katika hoteli ya Domicil mjini Frankfurt.
Baadhi ya wageni waalikwa wakipiga picha pamoja na mgeni rasmi mwakilishi wa balozi, wakati wa kusherehekea sikukuu ya Uhuru wa Tanzania.