PICHA NA MATUKIO

UTU Sommerfest 2025 | 02.08.2025 | Berlin

Geti la Brandenburger Mjini Berlin.

Mwenyekiti wa Umoja wa Watanzania Berlin (UWATAB),  (kushoto), akiwa pamoja na mwenyekiti wa umoja wa Watanzania, Bi. Miriam Liebhart (kulia), wakifungua rasmi UTU Sommerfest 2025 – Berlin.

Hawa ni vijana wa kazi walichacharika mno! Wacheshi, nimewafurahia mwanzo hadi mwisho. Wabarikiwe na nawaombea wawe na moyo huo huo wadumu kukitangaza chama chetu.

Mshindi wa nembo mpya ya UTU e.V., Bw. Bernardo Mbwilo akipokea cheti cha ushindi kutoka kwa mwenyekiti wa UTU e.V. Bi. Miriam Liebhart.

Mshindi wa nembo mpya ya UTU e.V., Bw. Bernardo Mbwilo (kulia) akisindikizwa na mwanakamati wa digitali, Heri Kilamile (kushoto).

Baadhi ya washiriki wa UTU Sommerfest 2025 – Berlin.

Mhazini wa UTU e.V. Bi. Faith Sandke, akiwa makini na mahesabu ya mapato ya siku ya UTU Sommerfest 2025 – Berlin.

Baadhi ya wanachama muhimu wa UTU e.V., Mama Phoebe na wenzake wakati wa UTU Sommerfest 2025 – Berlin.

Bango jipya linalobeba nembo mpya ya UTU e.V.

Viongozi wa UWATAB wakibadilishana mawazo wakati wa UTU Sommerfest 2025 – Berlin.

Baadhi ya bidhaa zinazobeba nembo mpya ya UTU e.V. vikiwa sokoni ili kutunisha mfuko wa chama.

Nimekutana na watanzania wakongwe hapa Ujerumani kaka Suleiyman kutoka Bremen (Benny Kaufmann-Sanga)

Wanachama wa UTU wakiwa Sommerfest

Wanachama wa UTU wakiwa Sommerfest

Msaada

Tufuatilie

Kuwa karibu zaidi na pata habari kuhusu matukio, miradi nakadhalika kupitia mitandao ya kijamii.

Copyright 2024 UTU. All rights reserved.